MOSHI MJINI JANA
Chadema`s Union presidential candidate, Dr Willibrod Slaa, addresses a campaign rally at Mashujaa grounds in Moshi yesterday.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Philemon Ndesamburo, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi, waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa jana.
Mdogo mdogo baba mpaka kwa muganyizi
|
|
MWANZA
Na wateja wa tigo wamesha jumuishwa
WATU WAKIKUPIGIA WASIKIE NYIMBO ZA CHADEMA KWENYE SIMU YAKO FUATILIA HAPA
1. TIGO NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA 12608 AU 12609 AU 12610 TUMA KWENDA 15007 AU 15050
2.VODA NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA BUY 771 AU BUY 772 TUMA KWENDA 15577
3.ZAIN NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA BUY 7141 AU BUY 7142 AU BUY 7143 TUMA KWENDA 15578
AHADI TANO ZA KIZALENDO.
2.CCM NI ADUI WA HAKI.SITAKUBALI KUICHAGUA`WALA KUONGOZWA NAYO 3.NITAPIGA KAMPENI KWA KADRI YA UWEZO WANGU NA KUCHAGUA CHADEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE. 4.AKILI NI MALI ,SITATUMIA AKILI YANGU WALA MALI YANGU KUKAMPENI CCM. 5.NITASAMBAZA MESEJI HII KWA KADRI YA UWEZO WANGU ILI TULIKOMBOE TAIFA. Mungu ibarikitanzania, Mungu mmbariki rais ajaye DR Slaa |
SALA MAALUM.
Tusali kwa pamoja......
Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli. Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili patakatifu (ikulu) pawe na Amani, Sasa basi Mungu wasaidie watanzania wenzetu wasio na ujuzi wa kutambua nani kiongozi bora wamtambue kuwa amekuwa akidai haki zao yapata miaka 15, Mungu tuepushe na rushwa za vitenge, pombe, simu, Pikipiki na ahadi za uongo maana wewe hupendi uongo.
Ni katika jina la Mungu Baba tunaomba na kushukuru. AAAAAAAMEN!
CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEE!
Hatuoni
Hatusikii
Tunadanganyika kirahisi
Tunafuata mkumbo
BAADAE TUNALALAMIKA
|
This email and any attachments are confidential and may also be privileged. If you are not the addressee, do not disclose, copy, circulate or in any other way use or rely on the information contained in this email or any attachments. If received in error, notify the sender immediately and delete this email and any attachments from your system. Emails cannot be guaranteed to be secure or error free as the message and any attachments could be intercepted, corrupted, lost, delayed, incomplete or amended. Standard Chartered PLC and its subsidiaries do not accept liability for damage caused by this email or any attachments and may monitor email traffic.
Standard Chartered PLC is incorporated in England with limited liability under company number 966425 and has its registered office at 1 Aldermanbury Square, London, EC2V 7SB.
Standard Chartered Bank ("SCB") is incorporated in England with limited liability by Royal Charter 1853, under reference ZC18. The Principal Office of SCB is situated in England at 1 Aldermanbury Square, London EC2V 7SB. In the United Kingdom, SCB is authorised and regulated by the Financial Services Authority under FSA register number 114276.
If you are receiving this email from SCB outside the UK, please click http://www.standardchartered.com/global/email_disclaimer.html to refer to the information on other jurisdictions.
No comments:
Post a Comment