The Anthem of Our Popular Struggle: Wimbo wa Mapambano Ya Umma 1. Kupigwa na Kupokonywa Maisha Hakutatuzuia sisi Wananchi Kunyakua Uhuru wetu Na haki ya jasho letu………..Jasho letu X2 2. Tumekataa Kupiga Magoti Mbele ya hawa wauaji Bila shaka Sisi pia ni watu Hali ya utumwa tumeikataa.. Kata KataX2 3. Tutanyakua Mashamba yetu Tupiganie Uhuru wetu Tuikomboe elimu yetu Utamaduni na viwanda vyetu… TukomboeX2 4. Sisi hatutaki kudhulumiwa Hatutaki tena Mauaji Haki Na Uhuru Zichanue …. ZichanueX2 Uuhuru weetu!!! Na Haki Zetu! Katiba Yeetu! Mashamba Yeetu! Umoja Weetu! Composed by Kang'ara Wa Njambi and the Late Karimi Nduthu, Popularized by RPP and 5Cs and Adopted at the First NCA-NCEC Plenary Session, Limuru on April 4, 1997 as the Anthem of Struggle BMW Has just loosed her seat. From grace to grass pride comes before a fall. -- MANY JOB VACANCIES: http://bit.ly/bROydQ TECHMTAA BLOG: http://bit.ly/cmRFZR To unsubscribe from this group, Email mlalahoi+unsubscribe@googlegroups.com TO ADVERTISE HERE PLEASE M-PESA KSH 1,000 for each advert or Ksh 5,000 for monthly subscription to +254 726 034 530
|
--
MANY JOB VACANCIES: http://bit.ly/bROydQ
TECHMTAA BLOG: http://bit.ly/cmRFZR
To unsubscribe from this group, Email mlalahoi+unsubscribe@googlegroups.com
TO ADVERTISE HERE PLEASE M-PESA KSH 1,000 for each advert or Ksh 5,000 for monthly subscription to +254 726 034 530
No comments:
Post a Comment