Monday, September 27, 2010

Re: Congratulations Sonko!

On Sat, Sep 25, 2010 at 19:22, joseph nyongesa <situmanyongesa@gmail.com> wrote:

Mheshimiwa, manze una kismat ju enyewe ningekua Papa ningekua nishakuchongoa Bure kabisa. Manze, huwezi chongoa the sane hivyo. Come slowly bana.

Muita, Boi Boi, enyewe kuna vile ni poa sonko ali win. Nibambika kiasi. Lakini kuna something Fulani mrembo wa mine, (ama ukitaka wi-fe) alinishoo mambo ni mos mos. Kuna vile mi na know huyu mrembo wa mine ni mjanja sana. Nasema hivyo ju kuna time mob nimecheza blunder na yeye mwishoe hukam kunishoo "I told you so". I hope sisemi ati mimi pia ni fala tu sana. Zii.

Either way, wacha tuone ka sonko atajiprove ama nikujishasha alikua anajishasha tu. Si ushaskia ile vibe ya monkeys na forest vis a vi ma politicians.

Gotea wadhii na usuko...especially warembo.

 

N.B kuna vile hii comp ya mine hai understand sheng, so imeshinda kunishoo ati grammatical errors. Sikujua comps huwanga fala hivi.

Cheers.

--

@Sane one,

Niaje mzeiya.  Umetulia tu sana? Mambo vipi?  Kwani huyo mresh amekukalia nini?  Nahope mnaroll poa bila noma.  Hiyo comp yako ni outdated.  Manze, hii machine ya mine huelewa lugha zote hata zenye hazinjaundwa bado.

Mhesh, ni msee mjo mi huwa simwelewi...yaani yee ni kigeugeu, hat huwezi jua ako side gani.  Yaani amelost.  Hizi risto za politics inaonekan hazielewi, haradi any...sii itakuwa poa kaa unaweza mpea gumzo sare ndiyo atleast tukewa mind moja.  Mwambi maneno tupu tumedinda.

Mie bado na wakilisha.  Warembo ndio wameninoki tu sana.  Kila dai mpata mresh freshi alafau tunafanya mambo halisi.  Sisemi ata.  Matime mob tu inakuwanga ni kuuma tu vector ndio na clinch ile nganya.  Yenyewe vitu poa ziko tena soo.  Ngotea wasee wamtaa.  Wambie niko mzima kama ngarange za mvule.
 
+-------------------------------------------------------------------------------------------------------+
 Best Regards,
 ./Muita Wangoko

 "If the outside is so good, why is it taking too long to perfect the inside?"
 +-------------------------------------------------------------------------------------------------------+

--
Follow Me on Twitter: http://twitter.com/robertalai
 
JOB VACANCIES: http://www.myafricancareer.net
 
TECHMTAA BLOG: http://www.techmtaa.com/
 
To unsubscribe from this group, Email mlalahoi+unsubscribe@googlegroups.com
 
TRAINING VIDEOS; CISM /TOEFL/ GMAT / GRE/ SAT / IELTS / CISSP / MCTS / CISA / CCNA / CCNP / MCSE / MCITP / PHP / PHOTOSHOP / DREAMWEAVER / WEB DESIGN and others, CALL 0726 034 530
 
Websites for Ksh 15,000? Call 0726 034 530

No comments:

Post a Comment